Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Najaribu kuvaa viatu vya Pascal Mayalla nakutana na mambo mengi. Viatu ni vya ngozi imekauka sana halafu nimevaa viatu bila soksi.vinaumiza sana.
Pascal kuna kipindi alikuwa neutral katika siasa za tanzania. Alikuwa hajajiambatanisha na chama chochote. Lakini kadri uchaguzi ulivyokaribia ndivyo alivyoanza jisogeza karibu na chama na mwishowe akabadili gear angani.
Akaenda kutana na wajumbe.wakamnafikia. akapata kura moja au mbili kama sikosei. Tena kwa kumheshimu alipata hiyo kura moja otherwise asingepata hata moja.
Akaamini angerudishwa kwa ngumu ya kijiko. Akakuta ameliwa kichwa ki kwelikweli. Siyo kwamba panga lilikwaruza shingo. Kumbe limekata.
Kwa hasira akaamua kuachana na kila kitu. Akaamua hata huku JF asiingie kabisa. Nmeshtuka hajataka hata kutoa salamu za RAMBIRAMBI KWA MH RAIS MAGUFULI. yaani ndo ametususa moja kwa moja kama vile nasi tulihusika kwenye kupiga kura.
Aache kususa hizo siyo tabia zetu. Aje huku tuendelee kuchambua siasa.