Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ila mkuu Pascal Mayalla! ikikupendeza, rudi kundini. Mchango wako humu ni muhimu sana! Ingawa kuna wadau wachache huwa wanakuchukulia poa poa tu! Na ukijumlisha na lile tukio la kumuunga mkono Gwajiboy, ndiyo ukawatibua kabisaaa!! 😃😃😃
Na kama uliadimika kwa sababu tu ya majukumu binafsi, basi yakikamilika, unakaribishwa sana JF. Wewe ni mmoja kati ya wajumbe wachache ambao ninawaheshimu na kuwakubali sana humu jukwaani.