Pascal Mayalla Ulichukia moja kwa moja. Rudi nyumbani yale yameisha

Thanks Mkuu Kabende Msakila , pole sana.
RIP Jemedari wetu JPM.
P
Ila mkuu Pascal Mayalla! ikikupendeza, rudi kundini. Mchango wako humu ni muhimu sana! Ingawa kuna wadau wachache huwa wanakuchukulia poa poa tu! Na ukijumlisha na lile tukio la kumuunga mkono Gwajiboy, ndiyo ukawatibua kabisaaa!! 😃😃😃

Na kama uliadimika kwa sababu tu ya majukumu binafsi, basi yakikamilika, unakaribishwa sana JF. Wewe ni mmoja kati ya wajumbe wachache ambao ninawaheshimu na kuwakubali sana humu jukwaani.
 
Hizi Zote ni nyuzi By Pasco.Ama kweli huyu atakuwa ''CHOIR MASTER'' ya ''PRAISE TEAM''!!
 
Kuna watu wakikosekana JF ,pengo lao linaonekana wazi akiwemo Pasco.
Waliokuwepo early 2010s wanalijua hilo.

Japo alikuwa kimya kwa kipindi lakini nilikuwa namwona members online.

Kuna huyu mama @faizafox kaadimika kabisa.
Ila yote ni mema.
 
Hii dhambi itamwandama milele,na ndio maana pamoja na kumsifu na kumwamudu mungu mtu Jiwe hakuna chochote alichoambulia.
 
Nimecheka kwa nguvu, eti anajaza server za jf. Ila kiukweli bro Umepotea sana hapa jukwaani siku za karibuni, na umepata tabia fulani ya makasiriko.
 
Sasa hapa wewe ndo umejaza saver hahahaaa
 
anaonekana twitter na kila akijibu hoja kwa Maria Stehai Sarungi yule dada anamjibu Pasco kwa spanner kali sana
 
Hilo li saka tonge limeKwisha habari yake, lilikuwa linajipendekeza pendeza kwa ‘hayati’ ili lipate uteuzi wa dakika za lala salama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…