Uchaguzi 2020 Paschal Haonga wa CHADEMA azindua kampeni Mbozi

Uchaguzi 2020 Paschal Haonga wa CHADEMA azindua kampeni Mbozi

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
30 Agosti 2020
Mlowo, Mbozi
Songwe.

Mgombea Mbunge kupitia Chama cha CHADEMA azindua kampeni ya Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 mbele ya mkutano wake mkubwa wa kwanza jimboni Mbozi mkoani Songwe.



Mgombea Paschal Haonga akiwania kuchaguliwa kwa mara nyingine kupitia CHADEMA leo tarehe 27 Agosti 2020 amewaomba pia wamchague Tundu Lissu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano kwa kura nyingi hapo Oktoba 28 2020.
 
Mbozi, Songwe
Tanzania

Pascal Haonga kampeni za ubunge jimbo la Mbozi


Ajenda ya huduma za maji, kero ya huduma za mama mjamzito walio na mimba zilizozidi miezi mitatu ...
Source : kimondo tv
 
Dodoma, Tanzania
Tanzania

Uchaguzi Mkuu 2020 CHADEMA jimbo la Vwawa mgombea awasilisha rufani Dodoma

Fanuel Mkisi mgombea aliyeteuliwa na CHADEMA kusimama katika uchaguzi ngazi ya ubunge ktk eneo bunge la Vwawa mkoani Songwe azungumza



Fomu namba 12 ya kukata rufaa kupinga uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo la Vwawa mkoani Songwe, kumuengua mgombea Fanuel Mkisi imefika katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi ya Taifa mjini Dodoma ili ndoto na haki za wananchi wa jimbo la Vwawa kumchagua mbunge wanayemtaka .


Hapo awali
Agosti 12 2020

Paschal Haonga na Fanuel Mkisi wateuliwa wa CHADEMA walipofika Ofisi ya Mkurugenzi wa Mbozi anayesimama kama Msimamizi wa Uchaguzi wa majimbo mawili ya Vwawa na Mbozi kuchukua fomu

 
Back
Top Bottom