G
Kwani kuna ambaye hajui kuwa kesi ya lissu ni bandia??Sijui unatumia kanuni gani ya kivita. Unawezaje kusarenda na kuanza tena vita?
Kwa ivo kwa maelezo yako unataka kutuambia kumbe Lissu Kesi yake ni ya bandia ila anashikiliwa kama kigezo shinikizo ili CHADEMA ishiriki kwenye maridhiano?
Mengine yepi hayo yatakayofuata?... nadhani mengine yatafuata.
Endeleeni kukaza,,mwenzenu akiwa anaozea jela..no body cares.Mengine yepi hayo yatakayofuata?
Mashariti yanayowekwa na vyama vya ipinzani na has a cdm,ni ya mhimu sana yakakubaliwa na ccm;kwa sababu vyama hivyo vimeumizwa sana kisiasa na hata kimwili.walienguliwa kihuni katika chaguzi mbalimbali kila MTU anajua,wamekamatwa,wamejeruhiwa nk.Hivyo pawepo na maridhiano yasiyomilikiwa na ccm.Nadhani hata makamu alionyeshwa kusikitishwa wakati akiongea ktk msiba wa Kadinali juzi.
Kwa nini anaozea jela... Halafu CHADEMA inahusikaje kwa yeye kuozea jela CHADEMA haitaki aachiliwe?Endeleeni kukaza,,mwenzenu akiwa anaozea jela..no body cares.
Mkuu hyo jumuiya ya kimataifa imeisaidia vip CHADEMA inavyo hangaishwa hapa nchini? Mwenyekiti wake yupo jela,Chama kimefungiwa kufanya siasa..hatuoni hata hizo jumuiya za kimataifa zikishinikiza kufanya lolote..wananchi walijaribu kufanya jambo ile 29/10..tuliona matokeo yake.1)Kama chadema wataridhiana kama alivyofanya mbowe ?wananchi wanaijua hiyo..!
Maana yake chadema itakuwa chama CHAWA itapoteza imani yake ka wananchi,kwa kifupi chadema itakufa kisiasa
3)Maridhiano maana yake ni chadema kutumika kama toileti pepa ama condom kusafisha na kuhalalisha haramu mbele ya JUMUIYA ZA KIMATAIFA
3)chadema sio muwakilishi wa wananchi wote,MARIDHIANO YAFANYIKE KATI YA SERIKALI NA WANANCHI WOTE.
Kwani Cdm imeshika silaha gani mkuu ?Naunga mkono pia,CHADEMA washushe siraha chini,hata kivita inaruhusiwa ku surrender ili uweze kujipanga upya kabla ya kurejea kwenye mapambano,watoe tu condition kwamba Lisu awe huru ili aongoze hayo Maridhiano.
Huko kukaza kwao kunafanya Lisu aendelee kuteseka,na CCM hawajali kabisa,mwisho atakata moto huko jela na hakuna watacho nufaika.
Cc Pascal Mayalla
Cc Robert Heriel Mtibeli una maoni gani
Kama na yeye ataridhia akae tu,,kushusha siraha ni pamoja na kupunguza misimamo mikali wakati taifa linaenda kwenye maridhiano.Kwani Cdm imeshika silaha gani mkuu ?
Mbona Mandela alikaa 27 years
Kila akiandika lazima aandike "mwenyekiti wao yupo jela" kama vile yupo jela kwa kuwa CHADEMA inakataa kufanya maridhiano.Kwani Cdm imeshika silaha gani mkuu ?
Mbona Mandela alikaa 27 years
CCM msimamo Yao mikali ndiyo iliyotufikisha hapa!Kama na yeye ataridhia akae tu,,kushusha siraha ni pamoja na kupunguza misimamo mikali wakati taifa linaenda kwenye maridhiano.
CHADEMA haihusiki na uchaguzi wa 2025!Kwanini hayo maridhiano wasifanye na ACT na CHAUMA walioshiriki uchaguzi?
Si tulikubaliana CHADEMA ilishajifia?
M/Mwenyekiti Heche mbona alishatoa MSIMAMO,wapo tayari kwa maridhiano yenye NIA ya dhati na sio ya ULAGHAI/Ujanja Ujanja...ila yote kwa yote Maridhiano ni kitu muhimu na hayaepukiki kwa sasaMkuu namaanisha wawe na utayari wa maridhiano,mara nyingi CHADEMA wanasema hawatashiriki..wakionyesha utayari nadhani mengine yatafuata.