fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Alidiwa tu maarifa na yule kijana lakini na umri piaWakuu Tutaendelea kuwa kichwa cha mwemda wazimu tu
Ujinga alioufanya Tshabalala Leo tumeuona ni muemdelezo tu
Tuache kuabudu majina Msindo alistahili kucheza LB