F fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 2,977 Reaction score 3,798 Aug 29, 2022 #21 FK21 said: Wakuu Tutaendelea kuwa kichwa cha mwemda wazimu tu Ujinga alioufanya Tshabalala Leo tumeuona ni muemdelezo tu Tuache kuabudu majina Msindo alistahili kucheza LB Click to expand... Alidiwa tu maarifa na yule kijana lakini na umri pia
FK21 said: Wakuu Tutaendelea kuwa kichwa cha mwemda wazimu tu Ujinga alioufanya Tshabalala Leo tumeuona ni muemdelezo tu Tuache kuabudu majina Msindo alistahili kucheza LB Click to expand... Alidiwa tu maarifa na yule kijana lakini na umri pia
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,884 Aug 30, 2022 #22 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukikua utaacha
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,884 Aug 30, 2022 #23 FK21 said: Assume national team anaitwa Ayoub lyanga Ata kibwana shomari tu hafai Click to expand... Haya tupangie wewe kikoso cha taifa basi ...acheni ujuaji wa tz jamani
FK21 said: Assume national team anaitwa Ayoub lyanga Ata kibwana shomari tu hafai Click to expand... Haya tupangie wewe kikoso cha taifa basi ...acheni ujuaji wa tz jamani
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Aug 30, 2022 #24 Shabalala alifanya makosa lakini badala ya kujadili makosa yake mnaleta usimba na uyanga, hivi mwamnyeto alivyoshika mpira eneo la penati box na refa akapeta mbona hamuongelei.
Shabalala alifanya makosa lakini badala ya kujadili makosa yake mnaleta usimba na uyanga, hivi mwamnyeto alivyoshika mpira eneo la penati box na refa akapeta mbona hamuongelei.