Pasco Mayalla kubadili upepo, aelekea Mbeya kuchukua fomu.

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,721
Reaction score
21,959
Taarifa hii imenifikia asubuhi hii. MwanaJF mwenzetu Pasco Mayalla amechukizwa na ushindani mdogo wa kisiasa uliopo katika majimbo ya Dar es Salaam na ameamua kuelekea Mbeya kugombea ubunge.
Ndugu Mayalla anatajwa kama moja ya wanasiasa nguli na mwenye maamuzi magumu kisiasa kama alivyo na maswali magumu kwenye kazi yake ya uandishi wa habari.
Baada ya tathmini ya muda mrefu jijini Dar es Salaam, Mayalla aliona hamna mtu mwenye uwezo wa kupambana naye kihoja jukwaani na hivyo kuamua kuelekea Mbeya kwenye siasa za ukweli.
Pasco ameonesha nia ya kutaka kuingia ulingoni jimbo moja na manguli Tulia Akson na Sugu.
Kila la kheri Pasco Mayalla.
 
Nabii Pascal Mayalla Hata angegombea ubunge Kwa Jimbo la JamiiForums, licha ya ukaribu wake na Sir Maxence Melo, Bado angeangukia pua. Uchawa pro maxi umempotezea kabisa umaarufu
 
Taarifa hii imenifikia asubuhi hii. MwanaJF mwenzetu Pasco Mayalla amechukizwa na ushindani mdogo wa kisiasa uliopo katika majimbo ya Dar es Salaam na ameamua kuelekea Mbeya kugombea ubunge.
Ndugu Mayalla anatajwa kama moja ya wanasiasa nguli na mwenye maamuzi magumu kisiasa kama alivyo na maswali magumu kwenye kazi yake ya uandishi wa habari.
Baada ya tathmini ya muda mrefu jijini Dar es Salaam, Mayalla aliona hamna mtu mwenye uwezo wa kupambana naye kihoja jukwaani na hivyo kuamua kuelekea Mbeya kwenye siasa za ukweli.
Pasco ameonesha nia ya kutaka kuingia ulingoni jimbo moja na manguli Tulia Akson na Sugu.
Kila la kheri Pasco Mayalla.
Amelogewa kushindwa vibaya kwa kuwekewa wazo la kugombea ubunge Mbeya. Aende Kanda ya Ziwa ni afadhali.
 
Back
Top Bottom