Pasha Amuumbua Snura

Pasha Amuumbua Snura

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
Pasha-na-snura.jpg


Baada ya msanii wa Bongo fleva Snura Mushi kufunguka kuwa hajawahi na hafikirii kutoka na msanii wa Bongo Fleva Pasha amuumbua.

Akizungumza na Enewz Pasha alisema kuwa yeye alishawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Snura ila kipindi hiko Snura alikuwa hajaanza kufahamika na yeye alikuwa akitamba na nyimbo ya ni soo.

“Kusema hajawahi kutoka na star hiyo ni uongo na amedanganya mimi nilikuwa na uhusiano nae tena nakumbuka kipindi kile nilikuwa namuimbiaga nyimbo yangu ya ni soo na ile ya am sorry”,alisema Pasha.
 
ha ha ha ha safi saana msouth kwa kutafuta pa kutokea maana daah kitambo wakumusiiiiiiiiiii
 
Jinsi wanavyolambana kuna mmoja wao anayeweza kutamba kumlamba mwingine kweli? Laiti wangejua ARV ndio tegemeo.
 
Hawa wasanii hawaaminiki hata siku moja nakumbuka mmoja alisema ana miaka zaidi ya miwili bila bf lakini jana yake akiuchezea ukuni wa mwana usiku mzima , tena alikuwa anagumia kweli sijui alikuwa anafanywa nini
 
Kusahau ktk maisha ni kitu cha kawaida huenda Chura alisahau kama aliwahi kuruka kwa Pasha.
 
Anaitwa Snura Mushi, kumbe Chura Ni mchaga?
 
Back
Top Bottom