Pasha ana gundu gani?

Pasha ana gundu gani?

Hivi yupo kwanza?!
..sijamsikia long.... Ila anasauti sana jamani....tatizo nyota Viol
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ana swaga za kishamba shamba yeye na mshikaji wake H-baba.
Halafu anaimba nyimbo zina melody ngumu siku hizi tofauti na kitambo alikuwa anaimba nyimbo zina melody nzuri na rahisi.
 
Akitaka arudi aimbe nyimbo style za kinaigeria ndo atahit sio aimbe kama best naso
 
Alichokosea pasha ndicho wanachokoseaga na wengine yaani kunyea kambi. Aliwatosa wale waliomleta mjini kama Mr nice alivyomtosa kameta au kama nani cjui alivyomtosa bizimani wote wakapotea
 
Mi wimbo nilioupenda hasa kutoka kwake ni ule NI SOO, nyingine naona za kawaida tu
 
Back
Top Bottom