Kama wewe ni mzoefu vifaa vya majumbani na pia unajua pasi gan inafaa kwa matumizi ya familia kwamba anaweza tumia mtoto, kaka, baba au mama bila kuleta matatizo ya ku overheat au kushindwa ku maintain joto lake, nipe jina na bei yake?
Nina pas ya Philips nilinunua mwanza ......hapana kwakweli, basi gani haialibiki....paso Ina miaka 14, tangu 2010, na bado sijuii inaharibika lini....maana ilikuwa inatumika na bweni Zima,lakini wapiiii