Pasi ipi ni bora na inadumu muda mrefu

Pasi ipi ni bora na inadumu muda mrefu

Joined
Feb 7, 2012
Posts
81
Reaction score
105
Kama wewe ni mzoefu vifaa vya majumbani na pia unajua pasi gan inafaa kwa matumizi ya familia kwamba anaweza tumia mtoto, kaka, baba au mama bila kuleta matatizo ya ku overheat au kushindwa ku maintain joto lake, nipe jina na bei yake?
 
Nina pas ya Philips nilinunua mwanza ......hapana kwakweli, basi gani haialibiki....paso Ina miaka 14, tangu 2010, na bado sijuii inaharibika lini....maana ilikuwa inatumika na bweni Zima,lakini wapiiii
 
Ukipata Philips original hutajuta.
 
Back
Top Bottom