The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Rafiki angu mmoja alipotaka kunyosha nguo, mara pasi ilipounganishwa na umeme ikaanza kuungua kama picha zinavyoonesha je tatizo ni nini?
Hapana ilikuwa sawa kabisa, imeanza kuyeyuka baada ya kuwa connected na umemeMkuu Mbona kama ilipondeka(gongeshwa)?
Ni Sundar hiyoMade in
Ndio faida ya Mchina kwa bei rafiki. Tupa kachukue ingine ikiungua tupa kachukue ingine. Endelea hivyo hivyoRafiki angu mmoja alipotaka kunyosha nguo, mara pasi ilipounganishwa na umeme ikaanza kuungua kama picha zinavyoonesha je tatizo ni nini?
Chinese made 🤣Made in
Hii itakuwa imetengenezwa hapo VingungutiRafiki angu mmoja alipotaka kunyosha nguo, mara pasi ilipounganishwa na umeme ikaanza kuungua kama picha zinavyoonesha je tatizo ni nini?
MasialaHii itakuwa imetengenezwa hapo Vingunguti
Hizo huwa ni zile pasi feki sana. Ni kwamba hilo bati la juu linapaswa kuwa non-conductor of heat, yaani bati lisilosafirisha joto au kuruhusu joto kusafiri kutoka upande wa chini ambao ndio hupata moto. Hivyo joto kali kutoka upande wa kupasia husafiri na kuja kwenye material za plastic na kuziyeyusha. Pia materia za plastic hutumika zile ambazo wanaita heat resistant, sasa hapo inaonekana wameweka plastic za kawaida.Rafiki angu mmoja alipotaka kunyosha nguo, mara pasi ilipounganishwa na umeme ikaanza kuungua kama picha zinavyoonesha je tatizo ni nini?
Ni wewe ungenaswa ila pasi ikakuokoa. Ungekauka ishukuru pasi.Chinese made 🤣
Nilidhani Philips,kama ni hiyo ina haki ya kuwa hivyo.Ni Sundar hiyo
Hili ni jambo la hatari sana. Inaweza kusababisha maafa makubwa. Nyumba inaungua au hata kifo kwa shot ya umeme. Bidhaa feki za mchina hizi, hawajali utu.Rafiki angu mmoja alipotaka kunyosha nguo, mara pasi ilipounganishwa na umeme ikaanza kuungua kama picha zinavyoonesha je tatizo ni nini?