Pasi kuungua kwa kuyeyuka, tatizo ni nini?

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Rafiki angu mmoja alipotaka kunyosha nguo, mara pasi ilipounganishwa na umeme ikaanza kuungua kama picha zinavyoonesha je tatizo ni nini?

​
 
Pasi ni philips tuu hizo zngne makopo
 
Mungu anaonesha dhahiri vile ambavyo moto wa jehanam utakavyokuwa mkali. Imagine chuma kinaungua.

Ohh! Hallelujah 🙏
 
Rafiki angu mmoja alipotaka kunyosha nguo, mara pasi ilipounganishwa na umeme ikaanza kuungua kama picha zinavyoonesha je tatizo ni nini?

Hizo huwa ni zile pasi feki sana. Ni kwamba hilo bati la juu linapaswa kuwa non-conductor of heat, yaani bati lisilosafirisha joto au kuruhusu joto kusafiri kutoka upande wa chini ambao ndio hupata moto. Hivyo joto kali kutoka upande wa kupasia husafiri na kuja kwenye material za plastic na kuziyeyusha. Pia materia za plastic hutumika zile ambazo wanaita heat resistant, sasa hapo inaonekana wameweka plastic za kawaida.
 
Ni Mchina aliyechangamka tu bro mboni wala siyo la kuumiza kichwa hilo.

Kwa asili ya hizi pasi ni vigumu sana kufa kiboya boya kama hivi ninayo moja naitumia since 2009 na bado inapiga kazi vizuri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…