Agent Smith
Member
- Jul 2, 2026
- 62
- 140
Ni mpya ipo kwenye boksi lake. Imetumika mara moja tu wakati wa kuijaribu siku ya kununuliwa dukani. Bei 25K. Ipo mbezi mwisho.
Bei yake dukani sio 20K.Mchina bana😀
Wenzie wanauza 200k, yeye anauza 20k.
Inanyoosha lakini kwa matumizi ya kunyosha nguo ambazo zimetoka kufuliwa huwa inatumika pasi ya moto.Kwahiyo nguo kama sio ya mtumba hiyo Pasi hainyooshi?
Harufu ya nguo za mitumba ipojeInanyoosha lakini kwa matumizi ya kunyosha nguo ambazo zimetoka kufuliwa huwa inatumika pasi ya moto.
Pasi ya moto kutoa mikunjo ya nguo ya mtumba ni mpaka nguo ifuliwe kwanza, na ukishaifua nguo ile harufu ya mtumba inatoka kwaiyo wateja wanaweza kujua ni nguo tu labda umezikusanya kwa watu ukazifua na kuziweka dukani.
Ndio maana wafanyabiashara wa kuuza nguo za mtumba huwa wanatumia pasi ya mvuke kunyosha nguo iwe na muonekano mzuri maana haiondoi harufu ya mtumba.
Ukiona zile nguo za mtumba grade a zimetundikwa dukani ujue zimenyooshwa kwa pasi ya mvuke. Zikitolewa kwenye balo zinakuaga zimejikunja kunja
Ngumu kuelezea harufu maana haina umbo au radhaa lakini kama ushawahi kusogelea kwa ukaribu nguo au kiatu cha mtumba kuna harufu utasikia kujua hii ni bidhaa ya mtumba. Kwa ambao wanaamini zaidi bidhaa za mtumba huwa wananusa kujiridhisha. Kwahiyo kama ni nguo ukiifua ile harufu inaweza kuondoka ikamfanya mteja afikirie sio mtumbaHarufu ya nguo za mitumba ipoje
Asante kwa ilimu turufuNgumu kuelezea harufu maana haina umbo au radhaa lakini kama ushawahi kusogelea kwa ukaribu nguo au kiatu cha mtumba kuna harufu utasikia kujua hii ni bidhaa ya mtumba. Kwa ambao wanaamini zaidi bidhaa za mtumba huwa wananusa kujiridhisha. Kwahiyo kama ni nguo ukiifua ile harufu inaweza kuondoka ikamfanya mteja afikirie sio mtumba
Hivi 25k ndo kiasi ganiMchina bana😀
Wenzie wanauza 200k, yeye anauza 20k.
K inawakilisha sifuri 3. kwahiyo toa K weka sifuri tatu inakua 25000 yaani shilingi za kitanzania elfu ishirini na tanoHivi 25k ndo kiasi gani
Elfu 25Hivi 25k ndo kiasi gani