INAUZWA Pasi za kutumia mvuke wa maji

INAUZWA Pasi za kutumia mvuke wa maji

Subira Shomvi

Member
Joined
Aug 12, 2023
Posts
5
Reaction score
3
IMG20230715103123.jpg
Hii ni pasi inayotumia mvuke wa maji. Ni rahisi sana kutumia kwani haiunguzi nguo hata ukiwa na haraka. Kwa wale wenye maduka ya nguo za mitumba hii itawafaa zaidi kwenye biashara zao ila inatumika kwa mtu yeyote mwenye uhitaji nayo. Ukihataji wasiliana nami kupitia namba 0675184274.
 
Mkuu
Unapiga picha bidhaa zilizo dukani kwa mtu au unayo hiyo pasi na huwezi kuipiga picha pekee?
Hii bidhaa mpaka naituma umu ni ya kwangu na mimi ndo muuzaji hiyo ni ofisi yangu pia. Natuma tena picha
 
Back
Top Bottom