Pasiansi wildlife management

EJay

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
693
Reaction score
172
wadau naomba kujua sifa na vigezo vya kujiunga na chuo hicho.
 
Sifa zake ni kuwa na elimu ya Form four lakini pia uwe umafaulu angalau kwa alama ya D katika masomo ya Biologia na Kemia. Pia lazima uwe physically fiti maana unasoma masomo ya kupambana na majangili maporini kwenye hifadhi za taifa.Kimesajiliwa na ni cha serikali
 

asante mkuu.kuna mdogo wangu naona anakidhi vigezo ngoja nijaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…