Pasina shaka michezo ya kubashiri, matokeo huwa yanapangwa Mhindi mwenyewe

Pasina shaka michezo ya kubashiri, matokeo huwa yanapangwa Mhindi mwenyewe

Kwahiyo matokeo ya Man Utd Jana alipanga mdosi?
 
Hakuna cha system wala nn hapo, hao wahindi hua wana KEY-IN results hasa hii TATU MZUKA NA BIKO
 
Hivi vitu sijawahi kujaribu kucheza na sitajaribu kucheza milele.

Ninavuja jasho kupambana na hali yangu tu, sipendi kabisa njia za mikato mikato au kubahatisha.
Kabisa mkuu,hii ni hobby pia.

Kutia mia tano kutafuta milioni 2,hakuna utajiri wa milioni mbili au kumi.
 
Kwa maelezo haya ya huyu mtoa mada.Inaonesha jinsi gani uelewa wetu ulivyo na matatizo.Ku bet ni jambo linalofikilisha sana watu hawajui tu.Ni kama hesabu tu..majuzi nikawaza weeeee..Man U Man U...lakini yaliyotokea..Chelesea nao kidogo wanitoe roho..
 
Back
Top Bottom