issa zuber
Member
- Mar 5, 2014
- 14
- 9
- Thread starter
-
- #21
Vvp mkeka wa Leo mkuuMimi nakula sana kwa hiyo wananipangia kula au
Mikeka yote hiyo nimebet dk 45 kipindi cha kwanza. Austria ikanichaniaHiyo Austria na mwenzie wewe uliweka draw matokeo yalikuwaje?
Cheza kimkakati mkuuBoss kila ukicheza wanachukua kama juzi nilibeti kwa team 3, buku5 yangu wakabeba
Huyu anabet kindezi af anategemea aleCheza kimkakati mkuu
Haha hiyo haiwezekani kabisa ataliwa kila siku halafu anamlalamikia mhindiHuyu anabet kindezi af anategemea ale
Mkuu m bet hawako uwanjani wakicheza,wala refa na wachezaji sio wao watapangaje matokeo sasaAah m bet msanii tu anatufanya maisha kuwa tyt zaidi
HA ha ha ha ha pole mkuuBoss kila ukicheza wanachukua kama juzi nilibeti kwa team 3, buku5 yangu wakabeba
Kabisa mkuu,hii ni hobby pia.Hivi vitu sijawahi kujaribu kucheza na sitajaribu kucheza milele.
Ninavuja jasho kupambana na hali yangu tu, sipendi kabisa njia za mikato mikato au kubahatisha.