Pasipo na nidhamu shuleni, matokeo yataendelea kufutwa kila mwaka

Pasipo na nidhamu shuleni, matokeo yataendelea kufutwa kila mwaka

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
[h=3][/h]



Kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya wanataaluma na wanasiasa kuhusu suala la elimu hapa nchini.....


Wanataaluma wengi wanapinga uamuzi wa serikali kuyafuta matokeo ya kidato cha nne kwa madai kwamba hilo siyo suluhisho la la tatizo ......
MBEZI.jpg



Wasomi hao wanadai kwamba hiyo ni njia ya serikali kujisafisha kisiasa na kukwepa kujiuzulu kama njia mojawapo ya kuwajibika....


Wakitoa maoni kwa nyakati tofauti, wanataaluma hao wanaamini kuwa, upungufu wa walimu, mgogoro ulipo baina ya serikali na walimu, nidhamu mbovu shuleni ( baada ya serikali kuzuia matumizi ya viboko), ukosefu wa vitabu na maktaba ndo vitu vya msingi ambavyo vimesababisha ubovu wa matokeo......

Miongoni mwa wanataaluma waliopaza sauti hadharani ni Makamu mkuu wa chuo cha Saint Augostine, SAUT....

Akiongea katika kipindi cha Tuongee asubuhi leo, Makamu mkuu wa chuo cha SAUT Father Charles Kitima amesikika akilaani kitendo cha serikali kuyafuta matokeo ya kidato cha nne...

Kitima alisema wanaosema mitihani isahihishwe upya hawana vision ya nchi hii kwani wako Bungeni kupiga madawati nakufundisha watoto matusi na kwamba hawana weledi wa kuongoza nchi hii.


PASIPO NA NIDHAMU SHULENI, MATOKEO YATAENDELEA KUFUTWA KILA MWAKA - MPEKUZI
 
MziziMkavu nakwambia kweli kama picha ni ya hapa kwetu Tz basi bila shaka inahitajika maombi ya ziada!

Hatuna wasomi wa baadae!
 
Last edited by a moderator:
Haaahaaa! Kazi ipo...tunaiachia dunia ilee watoto wetu. Matokeo yake tutayaona
 
hii picha ibandikwe ubao wa matangazo ikulu, wizara ya elimu na baraza la mitihani
 
picha ya kwanza wanaonesha sare zao za ndani, what problem!?, hiyo nyingine ya Mbezi ni zilipendwa.
 
tuachane na siasa za kufeli sijui kufaulu. Hako katoto ka Mbezi beach kamebarikiwa kalio laini wallah mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio
 
Back
Top Bottom