Paskal Mayala mbona hudadavui kuhusu chuki hii inavyoenea utawala huu?

Paskal Mayala mbona hudadavui kuhusu chuki hii inavyoenea utawala huu?

Ameshakubali kuwa sehemu ya shetani ndo mana hawezi kutia neno lolote juu ya madhambi yanayoendelea, ukabila umeshammeza
huyu tangu alipoitwa kwenye ile kamati ya bunge kujieleza amekywa siyo yule tuliyekuwa tumemzoea amekuwa mtu wa kusifu kila kitu hata kisicho stahili sifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom