Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Wengi wamekuwa wakimtabiria kuwa pengine anajikomba ili apewe nafasi. Nakuhakikishia sio kabisa. Ninavyomsoma between the lines, Paskali anawananga sana hawa watawala. Nimehisi inawezekana alishasemwa uso kwa uso na kukanywa sasa kwa kuwa yeye ni mwandishi mzuri na kwa kutumia tasnia yake ya Sheria amekuwa akiandika kwa namna ya kuwananga hao watawala kwa matendo yao kama vile anawasifia.
Mfano kwenye threads zake anapoongelea "ushindi wa kishindo" wa Serikali za Mitaa ukisoma vizuri sentensi husika yaani anakuwa haamaanishi km ni ushindi wa wa kishindo kweli ila anamaanisha ushindi wa kibabe. Ili uweze kumwelewa vizuri unatakiwa usome kila neno lake.
Nawahakikishia Paskali yupo upande wa opposition, tena ni opposition ile mbaya sana sana. Nina uhakika wanamfahamu na hawawezi kufanya kosa wampe nafasi yeyote kule hata U-DC anaotabiriwa na wengine. Mimi ninaamini kabisa Paskali anawasaidia zaidi watu wa opposition kuliko wa CCM na hivyo tunapaswa kumsoma vizuri sana sababu anafungua watu macho.
Jaribu kusoma vizuri threads zake utaniambia!
N.B. Moderator naomba hii thread isihamishwe kutoka Jukwa la Siasa ambapo niliiweka mimi kwa sababu Paskali kule ni mdau wetu mkubwa.