Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera![emoji57]Wengi wamekuwa wakimtabiria kuwa pengine anajikomba ili apewe nafasi. Nakuhakikishia sio kabisa. Ninavyomsoma between the lines, Paskali anawananga sana hawa watawala. Nimehisi inawezekana alishasemwa uso kwa uso na kukanywa sasa kwa kuwa yeye ni mwandishi mzuri na kwa kutumia tasnia yake ya Sheria amekuwa akiandika kwa namna ya kuwananga hao watawala kwa matendo yao kama vile anawasifia.
Mfano kwenye threads zake anapoongelea "ushindi wa kishindo" wa Serikali za Mitaa ukisoma vizuri sentensi husika yaani anakuwa haamaanishi km ni ushindi wa wa kishindo kweli ila anamaanisha ushindi wa kibabe. Ili uweze kumwelewa vizuri unatakiwa usome kila neno lake.
Nawahakikishia Paskali yupo upande wa opposition, tena ni opposition ile mbaya sana sana. Nina uhakika wanamfahamu na hawawezi kufanya kosa wampe nafasi yeyote kule hata U-DC anaotabiriwa na wengine. Mimi ninaamini kabisa Paskali anawasaidia zaidi watu wa opposition kuliko wa CCM na hivyo tunapaswa kumsoma vizuri sana sababu anafungua watu macho.
Jaribu kusoma vizuri threads zake utaniambia!
N.B. Moderator naomba hii thread isihamishwe kutoka Jukwa la Siasa ambapo niliiweka mimi kwa sababu Paskali kule ni mdau wetu mkubwa.
Alienda paschal mayalla akarudi paskal mayalaHuyu siye yule paskali tuliyemtuma kama wanaJF aende kuuliza maswali kwa JPM alipowakaribisha ikulu!Nadhani aliyeenda na aliyerudi watu wawili tofauti!
Hana tena guts!
Alienda paschal mayalla akarudi paskal mayala