Paskali Mayala ni mwanahahari mzuri lakini anakabiliwa na Uchawa, Neutrality na fear of unknown

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Utopia ni delusional ya Thomas More , and it does not exist .Be informed!
Suala la Mama kwenda Nairobi kumuona Lissu halina uhusiano na harakati za no reform no election .

After all , kama Maam alienda kumuona Lissu…. Therefore , we should compromise harakati kwa kuwa Mama alienda Nairobi !?? What a thinking !!!

Suala la Mbowe kutolewa ilikuwa ni huruma ya Mama au ni baada ya kuona makosa ya Mbowe ni yakupikwa? Mbowe anaweza kuwa gaidi?

Strategic politics ni delusional under CCM regime ,even CCM is not conducting Strategic Politics(SP)…. ndio maana pale kijijini kwenu mpaka leo mnakunywa maji ya mto.

Listen, for as long as CCM haipo tayari kutoka Ikulu , kufanya reforms ya katiba, independent NEC … then any movement from upinzani ambazo ni strategic ( long term& sustainable ) will be silenced kwa kutumia dola and all that.

CCM will never compromise kwenye hoja ya katiba mpy au uchaguzi huru chini ya independent NEC . Hii ni sawa wao kukubali kuachia dola, hata ukafanye vikao na bibi yake Samia…. Billion times ….It will never work .

DG wa NEC anakuwa presidential appointee… and huyo huyo anasimamia uchaguzi ambao Rais anagombania nafasi hiyohiyo…. Are you thinking rational? Are we mad ?

Siasa za Harakati kwa TZ haziepukiki , CCM yenyewe haifanyi strategic politics ndio maana hadi leo matatizo ya enzi ya mwalimu ndio matatizo anayo yaimba samia…
Maji, matundu ya choo, kupeleka madawati, kumtua mama ndoo….. and all that … over 60 years

Nilishawahi kusema, ili TZ isonge mbele na kutoka kwenye huu ufukara, ni lazima generation fulani ifutike kwenye uso wa TZ . Hii generation ndio SETBACK.

Uchawa , neutrality limeangusha sana career path yako Paskali and it makes you look low class Journalist.

Dr Megalodon
Canada
 
Tatizo la nchi hii tuna akili nusu nusu.
1. Uzuri wa moyo wa mama has nothing to do kwa mahitaji ya katiba mpya na reform ya tume ya uchaguzi. Hili ni suala la urithi na ustawi wa nchi sio hisani ya mama mwema

2. Haimaanishi kudai reform unamvunjia heshima huyo mama mwema kwani siasa sio uadui bali ni mapambano ya kikanuni, hoja na sio vita ya ngumi.

3. Hiyo muafaka anaoongelea Pascal Mayalla ulishindikana kwa ccm kukataa kila hoja ya cdm sijui Pascal anaongea kitu gani.

Lissu na Chadema hawana ugomvi na Samia kama Samia bali na mifumo ya uendeshajj nchi (katiba) na tume ya uchaguzi.

Lissu anatoa elimu bora tena kwa rejea za chaguzi za miezi 3 iliyopita jinsi hakuna uwezekano wa upinzani kushinda tena, sijui kwanini Watanzania wanakuwa na shingo ngumu kama Farao
 
Ni aibu na fedheha kwa mwandishi wa habari kukosa objectivity katika kufanyakazi y'ako,shinda kubwa ya tasnia ya habari ni Sycophant reporting zenye lengo la kupata maslahi binafsi sio maslahi ya umma.
Unamsema Mayalla ambae aliwania ubunge kupitia tiketi ya CCM?
 
Huyu mzee ifike mahali tumpuuze sio kwamba tunamdharau ila ni sababu hana anaposimamia.

Huyu ni wakili ila ajabu na cha kushangaza alibariki na kusema "uchafuzi" wa 2020 ulikuwa huru ila dosari zilikuwepo kwa kiasi kidogo na CCM ilishinda kihalali hapo alikuwa akijibu hoja ya diaspora mmoja aliyehojiwa na New York Times akielezea ushenzi uliofanyika siku ile na kuzuia huduma ya internet kwad kuanzia October 28 hadi November 5 2020.

Huyu wakili hajazungumza chochote juu ya uwepo wa kesi ya Bob Wangwe kukataa wakurugenzi kusimamia uchaguzi na wakurugenzi hawa walipigwa mkwara na Magufuli kuwa kama amewapa gari na nyumba halafu wamtangaze mtu mshindi tofauti na CCM hawajipendi.

Licha ya kuzimwa internet 2020 bado CCM na vyombo vyake hawakuweza kuzima teknolojia matumizi ya VPN yalikuwepo zipo video , picha na taarifa nyingi tu zikionyesha ushenzi uliokuja kupewa jina la ushindi wa kishindo .

Mimi sio mwanasheria ila naomba Pascal apitie hapa aone jinsi tunavyotaka mahakama ziwe huru na bunge liwe huru, rais Kenyatta alipoanzisha mchakato haramu kujiongezea nguvu kimamlaka na kubadili katiba alidhibitiwa kimahakama leo hii tume imeshindwa kesi mahakamani wakurugenzi wasisimae uchaguzi ila bado wakaenda kusimamia na mkwe wa Samia akaja kusema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki na CCM tena imeshinda kwa kishindo.

Rais alijianzishia mchakato kupitia wapambe kama alivyojaribu Magufuli na kina Ndugai wa kuondoa ukomo wa madaraka na akimaini utapita na kwa haya yanayoendelea na Samia mara leo hii sijui chai na vitumbua vya mama , mara mabondia wa mama sishangai ukipitishwa mchakato haramu kupitia machawa halafu ukaaminika ni will ya watu je kuna mahakama itaweza kumdhibiti rais kama hivi kwa wenzetu?

Pascal natumaini atapitia hii ruling ya BBI na jinsi mahakama ilivyoweza kunusuru katiba kunajisiwa .

View: https://youtu.be/_Apo32_T8F4?si=kjze_SohZ8N_Ghby
 
Utopia ni delusional ya Thomas More , and it does not exist .Be informed!
Suala la Mama kwenda Nairobi kumuona Lissu halina uhusiano na harakati za no reform no election .

After all , kama Maam alienda kumuona Lissu…. Therefore , we should compromise harakati kwa kuwa Mama alienda Nairobi !?? What a thinking !!!

Suala la Mbowe kutolewa ilikuwa ni huruma ya Mama au ni baada ya kuona makosa ya Mbowe ni yakupikwa? Mbowe anaweza kuwa gaidi?

Strategic politics ni delusional under CCM regime ,even CCM is not conducting Strategic Politics(SP)…. ndio maana pale kijijini kwenu mpaka leo mnakunywa maji ya mto.

Listen, for as long as CCM haipo tayari kutoka Ikulu , kufanya reforms ya katiba, independent NEC … then any movement from upinzani ambazo ni strategic ( long term& sustainable ) will be silenced kwa kutumia dola and all that.

CCM will never compromise kwenye hoja ya katiba mpy au uchaguzi huru chini ya independent NEC . Hii ni sawa wao kukubali kuachia dola, hata ukafanye vikao na bibi yake Samia…. Billion times ….It will never work .

DG wa NEC anakuwa presidential appointee… and huyo huyo anasimamia uchaguzi ambao Rais anagombania nafasi hiyohiyo…. Are you thinking rational? Are we mad ?

Siasa za Harakati kwa TZ haziepukiki , CCM yenyewe haifanyi strategic politics ndio maana hadi leo matatizo ya enzi ya mwalimu ndio matatizo anayo yaimba samia…
Maji, matundu ya choo, kupeleka madawati, kumtua mama ndoo….. and all that … over 60 years

Nilishawahi kusema, ili TZ isonge mbele na kutoka kwenye huu ufukara, ni lazima generation fulani ifutike kwenye uso wa TZ . Hii generation ndio SETBACK.

Uchawa , neutrality limeangusha sana career path yako Paskali and it makes you look low class Journalist.

Dr Megalodon
Canada
Safi sana!
 
Binafsi Mimi simpendi Kaka Paschal Mayalla because he's too neutral. Kwenye nchi zetu hizi bora mara elfu uwe na upande. Kaka Paschal Mayalla wewe kubali ni CCM basi. Hao Chadema hata uwe neutral kiasi gani, ukiwakosoa kidogo tu, wanakujia juu utafikiri neno maoni binafsi sio misamiati wanaijua ingawa eti wanaamini kwenye demokrasia! Ahahahahaha!!
 
Back
Top Bottom