Mkuu Dokta Megalo,
Megalodon , kwanza asante kwa bandiko hili very objective. Utopia sio lazima uwe ni utopia ule, huu sasa ni utopia wetu kama ndoto ya Alinacha, sio Alinacha yule, tumeuchukua huo utopia wa Thomas More tuka u domesticate Kitanzania, kuzuia uchaguzi bongo ni utopia tuu!.
Yes hazina uhusiano bali sisi wenye jicho la tatu, kwa kuangalia tuu facial expression ya macho yanasema kitu, TAL alipaswa akijue hicho tulichokiona and take advantage!.
Its more than that, hakuishia kumuona tuu Nairobi, alimfuata Ubelgiji na akamuona tena na akampiga jicho lile lile!. Hakuishia hapo kwenye Tamasha la Kizimkazi, akampa simba fulani jina la Tundu Lissu, hivi mlitaka mtu afanye nini ili muelewe?.
Kesi ya Mbowe wakati inafutwa, iliisha vuka stage ya commital prpceeding, na akakutwa na prima facie!.
CCM haihitaji strategic politics kwasababu CCM sio tu ni chama cha siasa , CCM ni chama dola!, ni dola!, it just needs to cling!.
Duh...!.
Ukilijua hili, unapaswa kuwa makini zaidi, smater and wiser!.
No, it works, wapinzani wanatakiwa kusaidiwa na ma good strategits!.
Kama 2015 opposition wameingiza wabunge zaidi ya 100, 2025 ni bonge la fursa kuliko hata 2015!.
CCM ni tatizo ila ndio chama tawala!.
Naunga mkono hoja, my estimates were 2030 lakini sasa mara ghafla kama zalia, fursa ikajitokeza!.
Mimi sijawahi kuwa chawa, bali kosa langu kubwa linalonigharimu ni kuwa mkweli kupitiliza!. Kosa hili la kuwa mkweli na kusimama na kweli, nitashuka nalo 6ft under!.
Kanuni za kazi ya journalism zinatutaka tu practice neutrality, truthfulness, objectivity, impariality and balance
Kuna kitu kinaitwa is and ought, its true I might look low class journalist, ma high class journalists ni machawa, that is ought, mimi mwenyewe najijua jinsi nilivyo, yaani is, na nimejifunza, it is very dangerous to be right if the boss is wrong!. Our media operating environment is the the law of the jungle, survival is for the fittest, to be fit to survive, one has to be very adaptive to the changing environment, I'm good at that, I'm survival ndio maana mpaka leo bado nipo still kicking!.
P