D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 3,799 Reaction score 10,196 Mar 3, 2025 #41 Kwani huyu Pascal Mayalla Hana haki ya kuongea na kuhoji kile anachoamini na kusadiki? Au kuna waliomtuma akawawakilishe katika mkutano ule na hakusema alichotumwa?
Kwani huyu Pascal Mayalla Hana haki ya kuongea na kuhoji kile anachoamini na kusadiki? Au kuna waliomtuma akawawakilishe katika mkutano ule na hakusema alichotumwa?
N Nilipe nisepe JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 446 Reaction score 971 Mar 3, 2025 #42 Mayala maana yake ni njaaa