Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kwa maelekezo. Samahani, hizo number umeziweka kwenye Post Namba ngapi ya uzi huu?Tembelea bus husika nimeweka namba zake za usajili
"Passengers, please don't smoking compartment, thank you for your cooperation" Hivi ndivyo ilivyoandikwa kwenye moja ya mabasi ya mwendokasi Dar T519 DWR
👆Asante sana kwa maelekezo. Samahani, hizo number umeziweka kwenye Post Namba ngapi ya uzi huu?
Imeandikwa kwa marker pen au"Passengers, please don't smoking compartment, thank you for your cooperation" Hivi ndivyo ilivyoandikwa kwenye moja ya mabasi ya mwendokasi Dar T519 DWR
Nilidhani ni macho yangu nikakaa kimya!! kumbe wengi tumeona maajabu haya ya smoking compartment"Passengers, please don't smoking compartment, thank you for your cooperation" Hivi ndivyo ilivyoandikwa kwenye moja ya mabasi ya mwendokasi Dar T519 DWR
Uliozidi ni uhuru au ujinga?Hii nchi uhuru umezidi aisee[emoji1][emoji1]
Inatakiwa kwanza ujue walimaanisha nini, ndio utaweza kuandika kwa usahihi.Hebu tueleze ww ilitakiwa waandike vp.
Kwanza banaiko jitahidi kwa bhile ya saana saana!! make hapo ujumbe umefika! siyo mpaka uandike grammartically correct! hiyo siyo lugha yao! waingereza wamekaa humu weee!! lkn hawajui kiswahili!Nikiwa kwenye bus la mwendokasi T 519 DWR leo asubuhi nimeona haya maandishi "Passengers, please don't smoking compartment, thank you for your cooperation" nikajiuliza timu nzima ya UDART hawana mtaalamu wa lugha hata kama si yetu?
ndiyo! hasa zile sehemu wanazo kaa wazire sana! na wana EA kwa ujumla wao!!Umeenda kwao ukakuta wanaandika matangazo kwa kiswahili?