Passengers, please don't smoking compartment, thank you...

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
"Passengers, please don't smoking compartment, thank you for your cooperation" Hivi ndivyo ilivyoandikwa kwenye moja ya mabasi ya mwendokasi Dar T519 DWR
 
Nikiwa kwenye bus la mwendokasi T 519 DWR leo asubuhi nimeona haya maandishi "Passengers, please don't smoking compartment, thank you for your cooperation" nikajiuliza timu nzima ya UDART hawana mtaalamu wa lugha hata kama si yetu?
 
Compartment= ganja mpya!
----
Mleta mada weka picha tudhibitishe wenyewe!
 
"Passengers, please don't smoking compartment, thank you for your cooperation" Hivi ndivyo ilivyoandikwa kwenye moja ya mabasi ya mwendokasi Dar T519 DWR
Imeandikwa kwa marker pen au
 
"Passengers, please don't smoking compartment, thank you for your cooperation" Hivi ndivyo ilivyoandikwa kwenye moja ya mabasi ya mwendokasi Dar T519 DWR
Nilidhani ni macho yangu nikakaa kimya!! kumbe wengi tumeona maajabu haya ya smoking compartment
 
🤣👍
Bora umenisaidia mkuu maana nilionekana ni mwongo
 
Nikiwa kwenye bus la mwendokasi T 519 DWR leo asubuhi nimeona haya maandishi "Passengers, please don't smoking compartment, thank you for your cooperation" nikajiuliza timu nzima ya UDART hawana mtaalamu wa lugha hata kama si yetu?
Kwanza banaiko jitahidi kwa bhile ya saana saana!! make hapo ujumbe umefika! siyo mpaka uandike grammartically correct! hiyo siyo lugha yao! waingereza wamekaa humu weee!! lkn hawajui kiswahili!

wala hawachekani kwa kutokijua kiswahili lkn sasa ngozi nyeusi sijui mmmerogwa na nini kupenya vya wazungu! mpaka misemo mapozi, mnatamani hata kucheka kwa kiingereza wajameni mwee!

na hhuu ni ugonjwq sugu!
 
Back
Top Bottom