Kumaliza ujenzi
Hongera sana Passion Lady,
Hapa naona jukwaa la chini kabisa limepewa mapumziko...watabaki Evelyn Salt na Madame B...
Hongera sana Passion Lady,
Hapa naona jukwaa la chini kabisa limepewa mapumziko...watabaki Evelyn Salt na Madame B...
ushamaliza ujenzi wakati hata kiwanja huna
na hayo ni matunda ya jukwaa hilo lol....
Hahahahaha sidhani kama ataacha kule. Halafu Babu leo nimelikumbuka jina lako la kipindi kileeee