Passion Lady ajifungua mtoto wa kiume

Passion Lady ajifungua mtoto wa kiume

Hongera wazazi wa kidume aliyezaliwa. Mungu awatunze mama, baba na mtoto. To the baby boy - welcome to the world. Lady Passion, enjoy your passionate time
 
Passion Lady
87.gif
 
Passion Lady Hongera

Mungu ni Mwema sana sasa mlee katika njia ipasayo maana hataiacha hata atakapokuwa mkubwa.
 
Ashukuliwe Mungu aliyewawezesha wazazi katika uumbaji huu wa mtoto, yeye mwenyewe awe msaada katika malezi ya mtoto. Awajalie hekima, busara na heri zote ili kufanikisha malezi mema ya mtoto
 
Back
Top Bottom