Passion Lady ajifungua mtoto wa kiume

kila la kheri na. mungu awajalie afya njema yeye pamoja na baby boy mwambie kuna kata yake huku anamiez 7
 
Hongera sana mamii! Mungu akubariki na akupe maarifa ktk malezi ya malaika huyo!
 
pole na hongera sana passion lady dear maana ukitoka labor salama ni kumshukuru Mungu kwanza, glory be to God
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…