Passion Lady ajifungua mtoto wa kiume

Passion Lady ajifungua mtoto wa kiume

Hongera sana Passion Lady, Mungu akulinde wewe na baby......ha haaaa, na babake (maana wababa tunawasahauuuuuu)
 
Hongera zake zimfikie popote alipo, ila akumbuke kuzaa sio kazi - kulea ndo kazi ngumu sana. Big up P.D
 
Back
Top Bottom