mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,210
nambie
nikwambie kitu..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikwambie kitu..?
nambie
tunakungoja na wewe bana!!!!!
ntakuwa wa wanza kukunulia nanii... teh!
Nini pacha...sema......
ngoja kwanza.. usije ukazimia kwa furaha bure!
haya wee
Hongera sana Passion Lady, Mungu akulinde wewe na baby......ha haaaa, na babake (maana wababa tunawasahauuuuuu)
hongera aisee tatizo ulikua unanifichaficha kuwa Passion Lady ni shemejipacha hunijui au?
yani kazi yote niliyofanya tena kwa matangazo redioni na tiviini bado tu sijawa femaz?
mambo gani sasa haya dk sifuri umelog out bana!!
U-sista (nun) tupa kule, tunataka mtoto! Mzima wewe?
Upo vizuri dada? nlisikia upo hospital.