BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Congrats
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah ffu wataanzia wapi kukanyaga uku kwa wastaarabu..
aah wewe!! usiniaminishe kiivyo!
wakati nimeambiwa huko ndo watoto wa mbwa mwitu wanakozaliwa!
qudadeki.. cji hivi hivi huko!
mida ya saa 10
Nzuri sana kamanda, tena ni nzuri zaidi kwa ajili ya kata ya Sombetini.
Hongera sana passion lady, namuomba mchumba huyo nim book mapema kwangu kuna mtoto wa kike
Hongera sana pl
mungu ukupe afya njema wewe na baby
​asante sana mpendwa!!Hongera sana Passion Lady