Passion Lady ajifungua mtoto wa kiume

aah wewe!! usiniaminishe kiivyo!

wakati nimeambiwa huko ndo watoto wa mbwa mwitu wanakozaliwa!

qudadeki.. cji hivi hivi huko!

Hahaaa jidanganye hvyohvyo..
 
^^
Hongera Passion lady
Mtoto ni furaha
Mtoto ni amana
Mtoto ni zawadi
Mtoto ni fahari
Mtoto ni upendo.
Uwe mama Mwema uachae alama ya malezi bora, mlee katika hofu ya Mungu.
^^
 
Hey, let him come, a healthy bouncing baby boy!!!! hongera sana Passion Lady:israel:
 
Hongera dada yetu kwa kumleta mwana wa kiume. Umlee ktk njia impasayo na Mungu atambariki
 
Hongera kwa Mama na Baba kwa kuyatendea haki maandiko yaliyosema "Enendeni mkaijaze dunia"
 
Hongera sana ndugu mungu akujalie muwe na afya njema wewe pamoja na mtoto
 
Hongera sna passion lady kwa kutuletea mkwe kwa wajukuu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…