Hiyo sio passo tena naona imekuwa gari kubwa labda inaongezeka jinsi miaka inavyokwenda...huu tunaita ukuaji kisayansi😄😄.wakuu nina passo 1kr piston 3 mwaka wa 2 na nusu naitumia... na safari zangu ni hapahapa town ila nimegundua kwamba inakula lita 1 kwa km 9 ... nadhani kwa passo labda inakula km 15 kwa lita ila naona hii yangu sio kama passo nyengine... ni fundi gani niende ili ipate kuwa vzuri
imetembea km 69854 mpaka sasa..
Badili sheli unayowekea wese inawezekana unapigwa!wakuu nina passo 1kr piston 3 mwaka wa 2 na nusu naitumia... na safari zangu ni hapahapa town ila nimegundua kwamba inakula lita 1 kwa km 9...
mkuu unaposema service kubwa, unabadilisha nini na nini mkuu?1. Mwaka wa 2 na Nusu uliinunua kwa nani? Ilikuja na kilometere ngapi?
2. Services gani umewahi kufanya kubwa hivi karibuni? Oil, Filter ya oil na air, plugs na coil?
3. Mizigo, tyre pressure na uendeshaji wako upoje? Na unaendesha sana town au?
Cheki koil na nozzle plug pia badilisha. Nna passo yangu kama yako nikiweka full tank naenda 500km kama ni highway. Huwa naenda nayo safari kubwakubwa mwanza dar maranyingi tuwakuu nina passo 1kr piston 3 mwaka wa 2 na nusu naitumia... na safari zangu ni hapahapa town ila nimegundua kwamba inakula lita 1 kwa km 9 ... nadhani kwa passo labda inakula km 15 kwa lita ila naona hii yangu sio kama passo nyengine... ni fundi gani niende ili ipate kuwa vzuri
imetembea km 69854 mpaka sasa..
Nimemuuliza fundi kuhusu nozzle kasema 1 inauzwa 20000 na si lazima kununua mpya anaweza kizibana zikawa fresh na hiyo coil kaniambia inauzwa 140000...Cheki koil na nozzle plug pia badilisha. Nna passo yangu kama yako nikiweka full tank naenda 500km kama ni highway. Huwa naenda nayo safari kubwakubwa mwanza dar maranyingi tu
Hapopana pasua kichwa kama asizidi 120km/h mbona kwenye specs zake hatuoni limitation ya speed zaidi ya kuandika highways km20/h na mjini 14/h?!Pia ukiwa highway usiende zaidi ya 120km/hr
Mimi huwa sipendi ufundi anaokufanyia fundi wako nozzle za gari ndogo ukianza kuzirepair ndo hivo zinamwaga tu mafuta so its your choice ila mm nashauri nunua coil zote mpya, nozzle zote mpya ,plug zote mpya zile za sindanonimemuuliza fundi kuhusu nozzle kasema 1 inauzwa 20000 na sii lazima kununua mpya anaweza kizibana zikawa fresh na hiyo coil kaniambia inauzwa 140000...
Ni uamuzi wako mkuu ila engine ya passo ni ndogo sana so ukiamia kitiririka usijekuta piston zinachomokaHapopana pasua kichwa kama asizidi 120km/h mbona kwenye specs zake hatuoni limitation ya speed zaidi ya kuandika highways km20/h na mjini 14/h?!
Mfuko sio mzuri bora zifanyiwe service baada ya mwezi kama bado nitanunua mpyaMimi huwa sipendi ufundi anaokufanyia fundi wako nozzle za gari ndogo ukianza kuzirepair ndo hivo zinamwaga tu mafuta so its your choice ila mm nashauri nunua coil zote mpya, nozzle zote mpya ,plug zote mpya zile za sindano
Ila kama mfuko sio mzuri mwambie akutestie nozzle ambazo bado nzima uendelee kuzitumia, coil pia afanye hivo.
Adui mkubwa kwa gari za petrol hizi ndogo ni miss
Ubane mafuta kwenye Nozzle kwani imekuwa kaburator hiyo?nimemuuliza fundi kuhusu nozzle kasema 1 inauzwa 20000 na sii lazima kununua mpya anaweza kizibana zikawa fresh na hiyo coil kaniambia inauzwa 140000...
Mambo vipi blaza kaka.Mimi huwa sipendi ufundi anaokufanyia fundi wako nozzle za gari ndogo ukianza kuzirepair ndo hivo zinamwaga tu mafuta so its your choice ila mm nashauri nunua coil zote mpya, nozzle zote mpya ,plug zote mpya zile za sindano
Ila kama mfuko sio mzuri mwambie akutestie nozzle ambazo bado nzima uendelee kuzitumia, coil pia afanye hivo.
Adui mkubwa kwa gari za petrol hizi ndogo ni miss
Hutu tugari tudogo twenye engine ya Cc chini ya 1000 huwa ni changamoto sana.wakuu nina passo 1kr piston 3 mwaka wa 2 na nusu naitumia... na safari zangu ni hapahapa town ila nimegundua kwamba inakula lita 1 kwa km 9 ... nadhani kwa passo labda inakula km 15 kwa lita ila naona hii yangu sio kama passo nyengine... ni fundi gani niende ili ipate kuwa vzuri
imetembea km 69854 mpaka sasa..