Password

Password

George Lugwani

New Member
Joined
May 2, 2012
Posts
1
Reaction score
0
HODI, HODI, HODI !
Naingia, nauliza namna ya kurudisha 'password' ya 'memory card' ya simu. Natumia Nokia 6303.
AHSANTENI
 
Karibu jamvini, subiri wataalamu watakuelekeza.
 
mbona umeingia na mambo lukuki-karubun kwanza
 
Kuna jukwaa la hayo makitu......Nenda Enjoy JF
 
Mkuu, karibu sana. ila hilo swali lako ungepeleka jukwaa la sayansi na tekinolojia, huko wajuzi wa tekinolojia wanatembelea mara kwa mara.
 
Karibu jamvini. Utapata unachokitaka Mkuu. Subiri kidogo tu.
 
Back
Top Bottom