MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Kwanza jiulize kwanini unataka kujua?Ungeuliza kabla ya kuanza mahusiano,kuwa kwenye mahusiano ni kuonesha kuwa umemkubali kama alivyo!Kibaya zaidi ni dalili ya kutokujiamini!
IMO kutaka kujua past relationships za Mpenzi wako ni dhahiri kua kuna kitu kinakusumbua kichwani mwa muhusika (mtaka kujua) ambacho kinaendana kabisa na kuweza vunja amani yake/hata mapenzi pia . Mapenzi meengi ambayo wengi wamepitia kwa kiasi kikubwa vinatakiwa viwe buried sababu ilisha pita haina umuhimu kama tatizo afya chukuaneni mkapime, BUT ndio kuna situations ambazo lazima uelezee kuhusu ex-mpenzi Na hizo ni kama labda umezaa na mhusika, ama mhusika yuko anga/eneo moja au kugongana mara kwa mara ili tu mpenzi wako mpya asiwe at a disadvantage anapokutana nae haipendezi ex-mpenzi anajua you a currently sleeping na huyo hali wa sasa yeye haelewi kua you have slept before akitambua hujisikia vibaya mno! Na asiipo jua aweza kejeliwa na ex wako bila yeye kujua
JE is it good to say you past exes?? YES Only If necessary kumbuka tu ukilazimisha unapata a Super edited version huwezi ukawa wazi na kusema labda nilibakwa na mjomba (na hio ni family secret..) huwezi ukaanza kusema nilipo kua chuo for fun mimi na my best friend tulikua na a three some one nite n.k labda kama huyo mtu hamko serious!
Inategemea unataka kujua past ipi past nyingine ukizifahamu zitakusaidia kum handle mpenzi wako,mfano kuna mambo aliyapitia na yaka muumiza so wewe ili usije rudia the samething unatakiwa ujue.
Lakini pia zipo past ambazo hazisaidii kitu hata kama ukizijua.Hizo ni za kuachana nazo
Na wewe ugly past yako umeiweka wazi kwa mwenzio; nakushauri kabla ya kutaka kujua mufahamishe mabaya yako yote basi ili mwende sawa ikibidi
Wapendwa wanaJF
Salamu.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia hii misemo na ushauri kuwa unapoamua kuingia kwenye mahusiano mapya, unatakiwa usimwuulize, wala usiangalie past ya mwenzi wako! Hapa nazungumzia mnapoanza mahusiano yenu. Na wakati mwingine hushauriwa kuwa Maisha yenu wote wawili katika umoja wenu huo yanaanzia pale mlipokutana.
Najiuliza ili uidefine kuwa hii ni past ya mwenzangu na sitakiwi kujiumiza nayo, haitakiwi kuniworry, unaanzia wapi??
Mwaka?, miezi? wiki?
How past is the past?
Ngoja nimsubiri Mbu aje hapa na mapicha yake ndo ntaielewa hii sredi vizuri.........
Najiuliza ili uidefine kuwa hii ni past ya mwenzangu na sitakiwi kujiumiza nayo, haitakiwi kuniworry, unaanzia wapi??
Mwaka?, miezi? wiki?
How past is the past?
...kwa mtazamo wangu, the past haina ulazima, unless Ex-s bado wana fit kwenye Ring1, Ring2 na Ring3 of the driver. mfano; ...iwapo Ex's wangu ni JF member, naamini ni jukumu langu kumtahadharisha JF Partner wangu awe muelewa. Same applies kwenye circle ya watu mnaokutana nao kila siku. Hii itasaidia kuondoa zile unforceable "uncomfortable" moments.
Only the truth, and nothing but The Truth will set you free.
...tayari, ushaiona hiyo?...lol! narudi kulala, jana nimekesha kutafuta donors bila mafanikio!
..ili mpenzi aichukulie ni past inatakiwa iwe ya muda gani? Mfano alowahitembea na shemejiye mwaka uliopita, mwezi uliopita au wiki tatu kabla ya kukutana na huyu.......hizi zote zinaingia kwenye past??
Mfano alowahitembea na shemejiye mwaka uliopita, mwezi uliopita au wiki tatu kabla ya kukutana na huyu.......hizi zote zinaingia kwenye past?? Na kama akiamua kutell, mpenzi anapaswa kuzichukulia kama ni past zisimuumize kichwa na wala asizitumie kumjudge mwenzie??
Nakubaliana nawe Inko, aksante hata mie ninaamini kuna past na past za kutell na not to tell.