kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Mwambie! Asijikute anaanza kupotea yeye! Tukatoa R.I.P humuWatu kama hao huwa wanapata ulinzi mkali sana kutoka kwa Baba yao Shetani. Na hivyo kujikuta wanaishi maisha marefu sana hapa duniani.
He's not random unless umezaliwa miaka ya 90.....huu ukuda sasa kila kifo cha watu randomly mtaani kuja humu
uyo ni rando kama randos wengine, yote haya sababu ya uyu kidudu, kila tanzia inatupiwa ukuHe's not random unless umezaliwa miaka ya 90.....
Unajua amekuwa pastor wa viongozi wako wangapi wa serikali? subiri mazishi utaelewa kma ni Random au vpuyo ni rando kama randos wengine, yote haya sababu ya uyu kidudu, kila tanzia inatupiwa uku
Kweli aisee. Na wewe usijaliwe kufika uzeeni ili utupunguzie gharama za kukutunzs ukizeeka.Tusiogope Watanzania wanaozaliwa ni wengi mno, kufuatia maboresho huduma za afya ,chanjo, elimu bure ,hamasa kuzaliana.... Shida ni kupoteza wapambanaji, japo kwa wazee above 80...( Life span 60...yrs) wapumzike kwa amani , kunapunguza garama kuwatunza nk.
Yaani kanapiga balaa...Ni hatari sana ukiangalia yule aliekua anasema hamna corona jana Na yeye kavaa Mask.Kadudu haka kamezidi, juzi tumetoka kuzika mtoto( Ni dada graduate alikuwa anahangaika apate ajira) Leo mama kavuta
InasikitishaYaani kanapiga balaa...Ni hatari sana ukiangalia yule aliekua anasema hamna corona jana Na yeye kavaa Mask.
Mkuu, huwa unatembelea maeneo gani kuchoma nyama hapa mbeya?Inasikitisha
Hapo opposite na octopus, jirani na Mbeya Peak, jioni wanachoma nyama vizuri sana hapo hukaa nikila nyama mara kwa mara.Mkuu, huwa unatembelea maeneo gani kuchoma nyama hapa mbeya?
Haya jirani, perhaps nakufahamuNiko Soko Matola, Mtaa wa Wageni, kwenye maghorofa ya NHC yanatazamana na Kiwanja Ngoma. Wee uko sehemu gani nikufuate fastaaaaa?
Hapana ndugu, usitamani shari imfike hata adui wako, muombee abadilike, kwa kuwa mara nyengine unaweza tamani shari imkute mbaya wako na ikawa kama ulivyotamani, matokeo yake na wewe ukafikwa na baya zaidi yake.Kuna mutu natamani afikwe na changamoto ya upumuaji
Juzi nimesikia waziri wa afya akisema Tanzania bado kuko shwari lakini vifo vinavyotokana na Pneumonia vimeongezeka sana tena kipindi ambacho baridi siyo kali-
R.I.P kwake mchungaji πͺπ’
Tuendelee kujifukiza
Au naongopa ndugu zangu? Mzaha sio mzaha?
Last time alikuwa anaendesha mdogo wake Lumuli! Labda wamebadilishanaLusajo Mwakoba anakaa Jacaranda, kasoma Azimio, kisha sekondari Meta. Ndiye anaendesha Mbeya Peak kwa sasa
Kwa hiyo ni dada na mama yake poleni.
na sisi jana tumezika