TANZIA Pastor Abel Ogernes afariki dunia

TANZIA Pastor Abel Ogernes afariki dunia

Tusiogope Watanzania wanaozaliwa ni wengi mno, kufuatia maboresho huduma za afya ,chanjo, elimu bure ,hamasa kuzaliana.... Shida ni kupoteza wapambanaji, japo kwa wazee above 80...( Life span 60...yrs) wapumzike kwa amani , kunapunguza garama kuwatunza nk.
Kweli aisee. Na wewe usijaliwe kufika uzeeni ili utupunguzie gharama za kukutunzs ukizeeka.
 
Najiuliza

Hivi magonjwa mengine yame acha kuuwa au yako mapumziko.

Nakumbuka hapo zamani baada ya taarifa ya habari ya mchana kulikuwa na vipindi vya matangazo ya Vifo.kila cku watuwanakwenda.

Nadhani hii corona inataka iuwe kwanjia mbili.

i)kabla haija kukuta ikuuwe kwa kuihofia.

ii)ikufume ikuchinjie mbali.


#tusipo toa elimu kwa jamii na kuishikiria corona,magonjwa mengine yataitafuna jamii kwa kasi sana.
 
Juzi nimesikia waziri wa afya akisema Tanzania bado kuko shwari lakini vifo vinavyotokana na Pneumonia vimeongezeka sana tena kipindi ambacho baridi siyo kali-
 
Kuna mutu natamani afikwe na changamoto ya upumuaji
Hapana ndugu, usitamani shari imfike hata adui wako, muombee abadilike, kwa kuwa mara nyengine unaweza tamani shari imkute mbaya wako na ikawa kama ulivyotamani, matokeo yake na wewe ukafikwa na baya zaidi yake.
Wakati ni mgumu tujitahidi kuchukua tahadhari na kumwomba muumba atuondoshee changamoto tulizo nazo
 
Huyu mdudu amekuja kwa kac kubwa,,,jamani Mungu atulinde kwakweli. Kuna tisha,,micba imefululiza. Kila ukiurliza PUMU. hali ni mbaya ndugu zanguni.
 
Back
Top Bottom