Mwislam by choice
JF-Expert Member
- Sep 23, 2017
- 361
- 471
Tukio la ajabu katika inchi ya Kenya. Pastor Bien Getau ambaye ni muhibiri maarufu nchini kenya anadai kupigiwa simu na Bishop aende akampe msaada katika kumwezesha kuendesha kanisa lake alipo kutana na bishop akaingia kwa gari then anakuja kuzinduka ameumizwa vibaya sana sehemu za nyuma haja kubwa na kupelekea kulazwa hospitali kwa alikuwa natoka damu sana.
Amepanda live tiktok kuomba msaada kwa ajili ya matibabu kwani anamshutumu bishop kwa kuwekea madawa ya kulevya na kumfanya kitu mbaya mbaka kuharibika vibaya kupelekea kufanyiwa operation.
Habari zisizo rasmi zinadai kuwa hawa jamaa walikuwa na uhusiono wa mapenzi ya jinsia moja kitambo yani pastor Bien Getau na bishop (prophet Peter K)