Pastor commits suicide in US after wife marries new man

Pastor commits suicide in US after wife marries new man

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sijui ndio alijua huko aliko Mchungaji aliko hakuna mitandao?

Ila mchungaji naye hajajiongeza sababu kujiua kwake ndio kawaachia uwanja sasa.
Mapenzi ya siku hizi ukijiua wewe ndiye mjinga

Mchungaji jaribu hilo limemshinda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa huu ndo nauitaga ujinga.

Kwanza amejiua, ametenda dhambi ... So siku ya Kiama ni Moto kama kawaida.

Pili, Kifo chake hakiwezi kuzuia Demu aache kula bata na mshikaji wake , alafu ndo kwanza demu anaona kasaidika.

Nakwann uende mbali umuache mwanamke wako?? ivi nyinyi wanaume, Kisa cha Adamu na Hawa pale Bustanin hakikuwafunza??? .

Nasemaje, Wanaume majinga mtaendelea kufwaaa, sisi wajanja tunapeta tuuu.

Mimi hata mwanamke anifanyie jambo gani la makusudi ndo kwaaaanza sina Habari !! ..wapo , wapo wengi sana yann ufie penzi lisokua lako??? .
 
Mchunguji=kujiua=pepo= Lamvaa mchungaji=anachunga nini mbuzi?
 
Back
Top Bottom