Mchungaji wa Kanisa la Neno Evangelism Centre, Pastor James Nganga, amewakosoa vikali wanasiasa na kutangaza kuwa hatawaruhusu kuzungumza mbele ya waumini kanisani kwake.
Akizungumza wakati wa ibada, Pastor Nganga aliwashutumu baadhi ya wanasiasa kwa kutumia makanisa kama majukwaa ya kujitangaza kisiasa wakati ni wezi wa mali za umma, akisistiza kuwa wanasiasa watakuwa kama waumini wa kawaida kanisani kwake
"Sitaki mwanasiasa hapa, atakuja anataka tu asimame aongee, mimi nikae chini hapa aongee mlevi, mwizi naona umeiba billions za serikali"- Amesema Pastor Nganga