“Pastor Wanted!” Nairobi church job advert ya Senior Pastor imezua moto online

“Pastor Wanted!” Nairobi church job advert ya Senior Pastor imezua moto online

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Wakenya wako divided baada ya Nairobi Baptist Church kutangaza vacancy ya Senior Pastor kupitia social media. Wengine wanasema ni transparency na modern leadership , lakini wengine wanauliza, “Kanisa sasa lina-hire pastor kama kampuni?”

Church inataka “visionary and Christ-centered leader” mwenye over 15 years experience na strong biblical grounding. Lakini debate kubwa ni hii

Je, viongozi wa kanisa wanafaa kuajiriwa kupitia adverts ama kupitia spiritual calling na discernment?
Online debate bado inaendelea na
opinions zimegawanyika vibaya
a13d3ca87125c237.jpeg
 
Back
Top Bottom