Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 712
- 1,748
Habari
Nimebaki mdomo wazi baada ya ndugu yangu wa karibu kukata 10% ya mafao yeke ya usitaafu na kumpelekea mchungaji kama fungu la kumi kakata tena vimilioni kadhaa vingine katoa kama sadaka ya malimbuko ya mwisho wa mwaka kanisa linapokea tu hiyo pesa na halijui baada ya miaka kumi ijayo huyu muumini atakua na maisha gani kiuchumi