Kama katoa kwa imani muache. Ni hela yake na Mungu wake, siyo yako.Habari
Nimebaki mdomo wazi baada ya ndugu yangu wa karibu kukata 10% ya mafao yeke ya usitaafu na kumpelekea mchungaji kama fungu la kumi kakata tena vimilioni kadhaa vingine katoa kama sadaka ya malimbuko ya mwisho wa mwaka kanisa linapokea tu hiyo pesa na halijui baada ya miaka kumi ijayo huyu muumini atakua na maisha gani kiuchumi
Habari

Sasa kumbukumbu la torati lina tuhusu nini sisi watu weusi wa hapa Africa mashariki Jamani baadhi yetu tumesha shtukia mchezoKumbukumbu la torati 14:22 "Usiache kutoa zaka ya FUNGU LA KUMI katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. Mithali 3:9-10 "Mheshimu BWANA kwa mali yako na kwa MALIMBUKO ya mazao yako yote. Ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi na mashinikizo yako yatatafurika divai mpya.
😅😅😅 hii kaliSasa kumbukumbu la torati lina tuhusu nini sisi watu weusi wa hapa Africa mashariki Jamani baadhi yetu tumesha shtukia mchezo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Lisipokuhusu wewe haimaanishi wote halituhusu.Sasa kumbukumbu la torati lina tuhusu nini sisi watu weusi wa hapa Africa mashariki Jamani baadhi yetu tumesha shtukia mchezo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app