Pasua kichwa

Smokey D

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
2,632
Reaction score
2,108
Umeingia chooni na kukuta kinyesi cha maana kimeshushwa pembeni ya choo Muda mfupi uliopita..! Mara ukaamua kuahirisha zoezi la kunya na kuamua kutoka chooni.., Wakati unatoka chooni Mlangoni ukapishana na demu unaye mtamani kila siku naye anataka kuingia chooni..! Je akiona kile kinyesi atakufikirije..? Na wewe utamthibitishia vp kuwa ule mzigo si wa kwako..?
 
Itabidi ujitapishe kimakusudu ili asilete zake.Bwaaaaaaghhhh nini tena watu wachafu sana wameshanichafua moyo wangu
 
hahahahahahahah, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Unamzuia asiingie,halafu unarudi tena kule ndani,unakaaa mpaka aondoke..
 
Kwa swaga za mamen wa kibongo wanaojitambua ..hilo jambo dg tu mbona
Hapo anakula kiswahili hadi anasahau alikokuwa anaelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…