Smokey D
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 2,632
- 2,108
Umeingia chooni na kukuta kinyesi cha maana kimeshushwa pembeni ya choo Muda mfupi uliopita..! Mara ukaamua kuahirisha zoezi la kunya na kuamua kutoka chooni.., Wakati unatoka chooni Mlangoni ukapishana na demu unaye mtamani kila siku naye anataka kuingia chooni..! Je akiona kile kinyesi atakufikirije..? Na wewe utamthibitishia vp kuwa ule mzigo si wa kwako..?