Njoo pmbando kiongozi.. Vifurushi ni ghali. kama nitapata msaada nitashukuru
bando kiongozi.. Vifurushi ni ghali. kama nitapata msaada nitashukuru
tumia vifurushi vya usiku halotel 1500 ni GB 10bando kiongozi.. Vifurushi ni ghali. kama nitapata msaada nitashukuru
Usingizi pia Ni muhimu kwa afya yakotumia vifurushi vya usiku halotel 1500 ni GB 10
Ukute baada ya kulipakua huko torrent hawezi cheza na crack/patch au missing dll file au PC yake haimeet minimum requirementsMkuu umelikosa torrent
hehehemissing dll
apo unakuta ume install gem masaa 6 uko
sasa mbona availability ya hizo dll ni rahisi
Ili tatizo naweza kuli solve karibu PM
PM kufanya Nini ?Ili tatizo naweza kuli solve karibu PM
Izo C++ uwa zipo kabla hata ujainstall game uwa recommend first pamoja na direct xPM kufanya Nini ?
Visual C++ Redistributable inasolve ilo tatizo au Dll fixes
Nimemwita pm ili aniambie anapatkana pande zipiPM kufanya Nini ?
Visual C++ Redistributable inasolve ilo tatizo au Dll fixes