PATA a FREE WEBSITE !

Mkimagi

Member
Joined
Jan 30, 2010
Posts
26
Reaction score
0
Habari wana forum !
Je ungependa kutengeneza website ya familia,biashara,charity au organization yako kwa bei poa-(tshs150000-upward ?)
wasiliana na sisi kwa maswali.Maswali yatajibiwa haraka.
Asante
 
Habari wana forum !
Je ungependa kutengeneza website ya familia,biashara,charity au organization yako kwa bei poa-(tshs150000-upward ?)
wasiliana na sisi kwa maswali.Maswali yatajibiwa haraka.
Asante

Mkimangi sijakuelewa FREE WEBSITE IKO WAPI wakaunachaji tshs150000-upward ?)
 
wizi mtupu, usiweke neno FREE, bora useme bei poa! wee vipi man!
 
i thought you said free? give me a break, no wonder wabongo hatufanikiwi hata kwenye biashara au profession kwa sababu ya mambo kama haya. hapo ushaweka credibility yako in questions, so can you tell me why i should trust you? acheni kona kona nyingi bwana...
 
Halafu hii ni post ya tatu leo hii. anabadilisha badlisha lugha tu.
 
hey man...mbona unajichanganya. unasema free website then unaandika kiwango cha pesa mbona unajichanganya...what i know kama ni free then inakuwa zero charge....

only when it is dark enough you can see stars .
 
Halafu kakimbia,njoo ujibu hoja weweeeeeeee.
 
hili nalo neno. kweli anadhani ataaminika tena na mteja?
imekula kwake
 
Wewe inawezekana ukawa tapeli mkubwa.KWANZA umeanza kwa kutudanganya,unapoongea na watu wazima kuwa makini sana.Kajipange upya
 
Wewe inawezekana ukawa tapeli mkubwa.KWANZA umeanza kwa kutudanganya,unapoongea na watu wazima kuwa makini sana.Kajipange upya
:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:

Am I dreaming?
 
Du unataka na humu mtuletee ufisadi wenu!hapa hatudanganyiki tafuta sehemu nyingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…